Dua wanayo kingwa nayo watoto

Imepokelewa na Ibn Abbas (r.a) amesema: Alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu akiwakinga wajukuu zake (Hassan na Hussein) akisema: ''Nawakinga kwa maneno ya Mwenyezi Mungu yaliyotimia, awakinge kutokana na kila shetani, na uvamizi, na kila jicho lenye kudhuru.''

API