Dua ya kuogopa kuingia katika ushirikina

Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi najilinda kwako kutokana na kukushirikisha hali ya kuwa najua, na ninakutaka msamaha kwa nisilolijua.

API