Dua ya kuvaa nguo mpya

Ewe Mwenyezi Mungu sifa njema ni zako, wewe ndiye uliyenivisha, nakuomba kheri ya nguo hii, na kheri ya kila ambacho nguo hii imetengenezewa, na najilinda kwako kutokana na shari yake, na shari ambayo nguo hii imetengenezewa.

API