Dua ya msafiri unapoingia usiku

Amesikia msikilizaji kusifiwa kwa Mwenyezi Mungu, na uzuri wa neema zake juu yetu. Mola wetu kuwa nasi na tufadhilishe, hali ya kuwa tunajilinda kwa Mwenyezi Mungu kutokana na moto.

API