Dua ya kutoka Msikitini

Kwa jina la Mwenyezi Mungu na rehma na amani zimfikie Mtume wa Mwnyezi Mungu, Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi nakuomba katika fadhila zako, Ewe Mwenyezi Mungu nilinde kutokana na shetani aliye laaniwa.

API