Utajo unaosomwa katika kikao

Imepokewa kutoka kwa Ibn Omar (r.a) amesema: Alikuwa akihesabiwa Mtume (s.a.w) kusoma kwake dua hii katika kikao kimoja ikifika idadi ya mara mia moja kabla hajasimama. ''Mwenyezi Mungu nisamehe, na nikubalie toba yangu, hakika Wewe ni mwingi wa kukubali toba, mwingi wa kusamehe.''

API