Fadhila za kumtembelea mgonjwa

Imepokewa na Ally bin Abi Twalib (r.a) amesema: Nimemsikia Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w) akisema: ''Mtu anapomtembelea ndugu yake muislamu mgonjwa, basi hutembelea katika bustani ya peponi mpaka atakapo keti, na anapoketi hufunikwa na rehma, ikiwa ni asubuhi, wanamtakia rehma Malaika sabini elfu mpaka jioni, na ikiwa ni jioni wanamtakia rehma Malaika sabini elfu mpaka asubuhi.

API