Dua ya maiti ya mtoto mchanga wakati wa kumswalia

Ewe Mwenyezi Mungu mlinde na adhabu ya kaburi. Ewe Mwenyezi Mungu mjaalie kuwa ni kitangulizi na akiba kwa wazazi wake, na nikiombezi chenye kukubaliwa dua yake, Ewe Mwenyezi Mungu kwa ajili yake zifanye nzito mizani za wazazi wake, na yafanye mengi malipo yao, na mkutanishe na waumini wema, na mjaalie awe katika dhamana ya Ibrahim na umuepushe kwa rehema yako na adhabu ya moto, na mbadilishie nyumba bora kuliko nyumba yake, na jamaa bora kuliko jamaa zake, Ewe Mwenyezi Mungu wasamehe waliotangulia katika uislamu.

Alikuwa Al-Hassan anamsomea mtoto mdogo Suratul-Fatiha kisha anasema: ''Ewe Mwenyezi Mungu, mfanye kwetu sisi ni kitangulizi cha malipo, na dhamana na malipo.

API